Jesus

Friday, January 23, 2015

TENGENEZA WEBSITE, BLOG, DATABASE NA KADHALIKA

HIZI NI MOJA YA KAZI AMBAZO KAPESA'S ICT INNOVATION
COMPUTER TECHNOLOGIES
1. Website/blog/database design
2. IP/CCTV Camera Installation
3. Networking (LAN & WAN)
4. Logo designing
5. IT Consultancy
6. Accounting packages training
7. SPSS training
8. Computer maintenance
9. Office Automation
10. IT/ICT Seminar
11. Computer Training


Wednesday, November 12, 2014

Yesu Amefanya Kwa Niaba Yako

 Yesu Amefanya Kwa Niaba Yako
 

Unalopaswa kufanya ni kupokea mauti yale na maisha mapya kwa imani. Fanya hivi: Ukisoma kitabu cha Warumi mlango wa 1 hadi wa 5 utagundua kwamba Mungu amemweka mwanadamu kwenye kona. Mwanadamu ni mwenye dhambi asiyekuwa na msaada wo wote na hawezi kujiokoa mwenyewe mpaka atakapogundua kwamba Yesu alimfia. Hilo humfanya mwanadamu awe na amani na Mungu. Ukiendelea kusoma Warumi mlango wa 5 hadi wa 7 mstari wa 25

utagundua kwamba mwamini huyu asiye na msaada anawekwa kwenye kona
nyingine ya kukata tamaa na analia kuomba msaada (Rum 7:24). Kupatikana kwa
jibu kunamletea mtu huyu amani.

Monday, November 10, 2014

 Tunatoa huduma ya mafunzo (Accounting training course). Na tunauza software hizo kwa bei nafuu kabisa.

Huduma hii hutolewa kwa mtu mmoja mmoja, vikundi na kadhalika.
Mahali ni nyumbani kwako, ofisini kwako, au ofisini kwatu.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba zifuatazo: +255 769 888 527 au barua pepe: kapesa01@gmail.com



ACCOUNTING PACKAGES
. Tunatoa mafunzo
. Unauza software
. Yote haya ni kwa bei nafuu sana

NOTE: Makampuni, shule, mtu binafsi unakaribishwa sana.

www.kitinnov.5gbfree.com
 

Friday, November 7, 2014

UTARATIBU WA IBAADA KATIKA KANISA LA FPCT KURASINI DAR ES SALAAM

RATIBA ZA IBAADA KATIKA KANISA LA FPCT KURASINI
1. Jumatatu -  Wamama (UWW) - saa kumi na nusu jioni
 2. Maombi - Vijana wote (saa 12.30 jioni hadi saa 2:15 usiku)
3. Jumatano - Ibaada ya mafundisho (wote mnakaribishwa)
4. Ijumaa -  Ibaada ya maombi (wote)
5. Jumapili - saa 1:30 - 9:30 asubuhi (English service) NA saa 9:30 hadi saa 7 mchana ibaada ya pili (Kiswahili)

Wednesday, November 20, 2013

Bring you are IT/ICT misunderstanding, Am here to help you

GOD IS GOOD ALL THE TIME
                        
                                                            Thank you GOD!!!!!!!!!!!
 IT expert (Programmer, IP and CCTV Installation etc)