Jesus

Wednesday, November 12, 2014

Yesu Amefanya Kwa Niaba Yako

 Yesu Amefanya Kwa Niaba Yako
 

Unalopaswa kufanya ni kupokea mauti yale na maisha mapya kwa imani. Fanya hivi: Ukisoma kitabu cha Warumi mlango wa 1 hadi wa 5 utagundua kwamba Mungu amemweka mwanadamu kwenye kona. Mwanadamu ni mwenye dhambi asiyekuwa na msaada wo wote na hawezi kujiokoa mwenyewe mpaka atakapogundua kwamba Yesu alimfia. Hilo humfanya mwanadamu awe na amani na Mungu. Ukiendelea kusoma Warumi mlango wa 5 hadi wa 7 mstari wa 25

utagundua kwamba mwamini huyu asiye na msaada anawekwa kwenye kona
nyingine ya kukata tamaa na analia kuomba msaada (Rum 7:24). Kupatikana kwa
jibu kunamletea mtu huyu amani.

No comments:

Post a Comment