Jesus

Wednesday, October 16, 2013

MAFUNDISHO YA YESU KRISTO


A. Mafundisho yake yaliyomhusu
- Mimi ni mkate wa Uzima (Yoh 6:35)
- Mimi ni nuru ya ulimwengu (Yoh 8:12)
- Mimi ndimi ufufuo na uzima (Yoh 11:25 - 26)
- Mimi ni njia, ukweli na uzima (Yoh 14:6)
Ufalme wangu (Luka 22:30)
Njoni kwangu (Mt 11:28 - 29)
Nifuate (Mk 1:17 n.k.)
Mkinipokea mimi.......mwampokea Mungu (Mt 10:40)
Mkinikaribisha........mwamkaribisha Mungu (Mk 9:37)
Mkiniona mimi mmemwona Mungu (Yoh 14:9)
Kunipenda mimi ni zaidi ya kuwapenda wanadamu
wengine (Mt 10:37, Luka 14:26) 

B. Alivyosema kwa mafumbo
Kusamehe dhambi (Mk 2:5)
Kuhukumu ulimwengu (Mt 25:31 - 32) 

C. Alivyosema kwa waziMasihi (Mk 14:61 - 62)
Mwana wa Mungu (Mk 14:61)
- ‘...kabla ya Abraham, nilikuwepo’
(Yoh 8:58)
- ‘Bwana wangu na Mungu wangu’
(Yoh 20:28)
- ‘Mimi ni Mungu’ (Yoh 10:33)

No comments:

Post a Comment